Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?

Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?

Mimi ni Bora nibaki nashida zangu tu matatizo yangu yananisumbua halafu nikaanze kupapalikia maslahi ya watu hapana! Jamaa alipewa warning akaipost Ile dm ya warning akawa kama amaeikejeli hivi nahisi jamaa ndo wakaanza kumvutia Kasi
Unafikiri Dunia ikiwa na wapumbavu kama wewe,maisha yangeendelea??
 
IMG_2832.jpeg

Jiina; Eric Bernard ngimbuchi
Umri; 35
Elimu; Shahada
Kazi; Kada wa CCM
 
Sawa, kwahy wao waliofanya hvy wamefanya kwa maelekezo ya nani mana JPM amekufa mwaka wa tatu huu mana ndie mnamtuhumu kuhusu ishu ya Lissu
Achana na hao Mbwa wa Januari!!

Kwamba system nzima ya nchi inategemea Makonda!?

Ndio maana tunasema JPM alisingiziwa mambo mengi sana!! Kwanini kwenye hili hatajwi Samia! JPM alionewa sana sana.

RIP JPM
 
Alitukana?

Kama alikuwa anatukana aelewe kuwa matusi yanaumiza wengi kuliko kichapo.

Kichapo anakula mmoja tu, matusi ni wadau wote, waliokuwemo na wasiokuwemo.

Adhabu yake, hutokea ambao hawana asili ya kutukanana, wanakuminya tu.
 
Naiomba serikali kwa kupitia kwa mkuu wa wilaya huyu ndugu great thinker anyanganywe simu
 
Mkome na nyie vijana kutukana serikali kwa kujiamini kisa kutafuta engagement
 
Back
Top Bottom