Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kuwa KWELI Lissu alipigwa risasi; maswali Dreva wake alisema nini? Gari linasema risasi zilipigwa na nani? VICTIM CARD OUT ON DISPLAY BEFORE OUR NAKED EYES...ukianza kubisha au kukanusha kwamba Lissu alishambuliwa unapoteza imani ya wasomaji wako.
..kwa mfano, sasa hivi gari alimoshambuliwa Lissu lipo mtaani. Na Lissu naye ni muwazi anaongea nini kilitokea.
..maswali mengi kuhusu tukio la Lissu yanaweza kujibika bila tatizo lolote. Hakuna haja ya kukisia nini kilitokea ktk shambulizi dhidi ya Lissu.
Nakubaliana na wewe kuwa KWELI Lissu alipigwa risasi; maswali Dreva wake alisema nini? Gari linasema risasi zilipigwa na nani? VICTIM CARD OUT ON DISPLAY BEFORE OUR NAKED EYES.