..ukianza kubisha au kukanusha kwamba Lissu alishambuliwa unapoteza imani ya wasomaji wako.
..kwa mfano, sasa hivi gari alimoshambuliwa Lissu lipo mtaani. Na Lissu naye ni muwazi anaongea nini kilitokea.
..maswali mengi kuhusu tukio la Lissu yanaweza kujibika bila tatizo lolote. Hakuna haja ya kukisia nini kilitokea ktk shambulizi dhidi ya Lissu.