Pre GE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimekuwekea comment yako ya ulichosema awali, halafu hapa tena unasema ushauri wangu huuhitaji, hii ni dalili ya pili pia ya kile nimesema awali, unajizima data.
Narudia tena Ushauri wako siuhitaji mimi ndo maana sijaandika "unanishauri nini" mshauri huyo mwenye upeo mdogo kisheria ambae anafikiri hiyo tweet inaweza kutumika kama ushahidi mahakamani baada ya kifo chake
 
Sawa mkuu
 
Hana mshauri mwenye upeo mkubwa!
Kama anahitaji kuchukua hatua muda ndo sasa ila akisubiri auwawe alafu watu wapeleke hiyo tweet mahakamani kama ushahidi hiyo ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…