Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
hapo hana budi kuikimbia nchi kwa muda.Kijana nenda ukatafute asylum USA au Canada,Bongo ni nyoso sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo hana budi kuikimbia nchi kwa muda.Kijana nenda ukatafute asylum USA au Canada,Bongo ni nyoso sana
Nasema endelea kutafuta kiki wewe na mmeo sativa mtaipata mda sio mrefuJielimishe chanzo na maana ya neno kiki halafu upanguse kamasi uje uendelee kucharaza muandiko hapa.
Narudia tena Ushauri wako siuhitaji mimi ndo maana sijaandika "unanishauri nini" mshauri huyo mwenye upeo mdogo kisheria ambae anafikiri hiyo tweet inaweza kutumika kama ushahidi mahakamani baada ya kifo chakeNimekuwekea comment yako ya ulichosema awali, halafu hapa tena unasema ushauri wangu huuhitaji, hii ni dalili ya pili pia ya kile nimesema awali, unajizima data.
Hilo nalo linawezekana kufanyika kwa sababu ulivyoachika kwake ndiyo mama yako mzazi alikuchukulia nafasi.Zingatia neno "mama yako mzazi"!Nasema endelea kutafuta kiki wewe na mmeo sativa mtaipata mda sio mrefu
Nasema endelea kutafuta kiki mtandaon wewe na mmeo sativa mtaipata mda sio mrefuHilo nalo linawezekana kufanyika kwa sababu ulivyoachika kwake ndiyo mama yako mzazi alikuchukulia nafasi.Zingatia neno "mama yako mzazi"!
Sahihi sijakataa.Hili nitakaa na mama yako mzazi ambaye ni mke mwenza wako tulijadili.Nasema endelea kutafuta kiki mtandaon wewe na mmeo sativa mtaipata mda sio mrefu
Sawa mkuuNarudia tena Ushauri wako siuhitaji mimi ndo maana sijaandika "unanishauri nini" mshauri huyo mwenye upeo mdogo kisheria ambae anafikiri hiyo tweet inaweza kutumika kama ushahidi mahakamani baada ya kifo chake
Kama anahitaji kuchukua hatua muda ndo sasa ila akisubiri auwawe alafu watu wapeleke hiyo tweet mahakamani kama ushahidi hiyo ni kutwanga maji kwenye kinuHana mshauri mwenye upeo mkubwa!
Kumbe wewe ni Mke wa sativaSahihi sijakataa.Hili nitakaa na mama yako mzazi ambaye ni mke mwenza wako tulijadili.
Anatakiwa Ajiongeze Kidogo Tuuhapo hana budi kuikimbia nchi kwa muda.
Hilo nalo ni la kukaa kwenye kamati ya kijiji tuone muelekeo wake.Ila,zingatia mke mwenzio atakujulisha yote.Kumbe wewe ni Mke wa sativa
Watamruhusu kuvuka mipaka?Anatakiwa Ajiongeze Kidogo Tuu
Kumbe wewe ni Mke wa sativaHilo nalo ni la kukaa kwenye kamati ya kijiji tuone muelekeo wake.Ila,zingatia mke mwenzio atakujulisha yote.
Bado nasisitiza majadiliano kufanyika kitongojini.Lakini,ni vema mke mwenzio akupe majibu yaliyonyooka.Kumbe wewe ni Mke wa sativa
Ndio Akipata Msaada Wa Hizo Nchi.Pia Mbona Roma na Mauzinde Yule (UPINDE) Amepata nikupanga karata Vizuri tuuWatamruhusu kuvuka mipaka?
Afanye hivyo hapa kushakuwa sio salama kwakeNdio Akipata Msaada Wa Hizo Nchi.Pia Mbona Roma na Mauzinde Yule (UPINDE) Amepata nikupanga karata Vizuri tuu
Hao n ma mbwa na ndio majambazi na wala rushwa wakubwa na Mungu alivyo mkuu huwa yanateseka sana uzeeni kwa laana za watu.Polisi ni Kazi ya laana mpaka kifo