SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

TUKANA UONE alafu onyesha Sura utatafutwa tu hata ujichimbie handaki ujifukie Chini watakufuata huko huko as long as Sura yako wanaijua
Ni sahihi Mkuu, zipo njia nyingi za kukutafuta wakiamua.

Wakigundua unapenda totozi basi watakuletea mtoto mzuri wa kuja kukudaka

Wakigundua unapenda beer, basi utajikuta unapata rafiki ambaye muda wote anakununulia gambe tu kumbe mtego wa kukudaka 🙌
 
Mungu ni mkubwa sana aisee daah ila tunabaki kusema wameumbuka huku wakiwa washateka wengine na kuwaua bila kufanya kitu chochote...
 
Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??

Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???

Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Mwananchi gani huyo mtu uhangaike na mtu atumie gharama kuhangaika na kitu hakimnufaishi na wala sio katika majukumu yake hiyo sio kweli
 
Sema nn kama hayo matusi ni yake kwenye hizo page zake, kama hawaja fabricate basi abadilishe namna ya harakati zake.
 
Kwa nchi yetu inayojipamba kwa kufuata utawala wa Sheria na kuheshimu haki za binadamu kosa/tuhuma hizo adhabu yake ni risasi???
Na Wewe nenda katukane utafutwe km mwenzio ukatupwe huko Gombe ndani ndani kwenye Chatu wa kutosha
 
Huu utekaji hautakwisha, mtu katekwa wakaenda kumficha kituo cha polisi, kisha tunasubiri polisi hao hao wajomba zake Mwashambwa wafanye uchunguzi wa tukio?!

No way.
Yani shida sana kesi ya nyani inasikilizwa na nyani haileti matumaini hata
 
Sure maana Pori la katavi lina simba wala watu na pia wasiojilikana wamemiss-target ya kupiga kwenye ubongo wakapiga kwenye TAYA ,jamaa bado kazi aliyotumwa hajaikamilisha.

Kumbuka Alipelekwa Arusha kisha KATAVI.

->Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

->Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?

Lissu alivyopigwa risasi ,kuna mtu alionekana Dodoma siku ya Tukio na hakuwepo kabisa kwenye sherehe za ikulu ambapo si kawaida yake ,kutekwa kwa Sativa na kupelekwa Arusha ,KUNANI?
Ebo! Mnataka kwenda wapi huko tena?
 
Mwananchi gani huyo mtu uhangaike na mtu atumie gharama kuhangaika na kitu hakimnufaishi na wala sio katika majukumu yake hiyo sio kweli
Na Wewe nenda katukane ili ukagundue ni Mwananchi gani huyo, mwenzio alichofanywa mengine hatosema mpaka anaingia kaburini ni Siri yake haya Wewe fanya uende basi ukatuletee mrejesho afisa kipenyo
 
Weka ushahidi wa huyo jamaa akitukana.
20240628_060208.jpg
 
Back
Top Bottom