CriSanToS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 1,233
- 3,575
Kama una uthibitisho wa hayo matusi aliyowahi kuitukana serikali, tuwekee ushahidi hapa 😬😬Umepitia Post za hadi lini, kapitie tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una uthibitisho wa hayo matusi aliyowahi kuitukana serikali, tuwekee ushahidi hapa 😬😬Umepitia Post za hadi lini, kapitie tena.
Ulinilazimishe kuniingizia agenda zako unazotaka.Kama una uthibitisho wa hayo matusi aliyowahi kuitukana serikali, tuwekee ushahidi hapa 😬😬
Basi jambo usilokuwa na reference nalo ni la kulikalia kimya, hivyo tu.Ulinilazimishe kuniingizia agenda zako unazotaka.
Wewe huna akili, mimi nikiweka matusi hapa kilamtu akija ataona nipo against Sativa na naungana na waliomteka hatujua tumeanzia wapi wakati mpishano wetu ulikuwa mdogo tu.....YOU CANT THINK THIS WAY.Basi jambo usilokuwa na reference nalo ni la kulikalia kimya, hivyo tu.
Kwahyo nae Lisu zile risasi zote alidanganya pia?Hapo kadanganyq
Huyo mwananchi anayemiliki kituo cha Polisi si wa kawaida. Ni wa kuogopwa sana.kama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Kama Lisu na school mate wangu Dokta Ulimboka.Walitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.
Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
Lakini Tz si Kisiwa cha amani?View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Dah watu wasiojulikana wanalaumiana mida hii.Kama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).
Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wafe
Lakini Mungu muweza akawaokoa
Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
Atakuwa mwananchi anayemiliki kituo cha Polisi.Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??
Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???
Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Tukifa tutajibu nini kwa MUUMBA?.
Haya maisha ni zawadi tu tumepewa kwa kitambo kidogo.
Mambo ya dunia yasitufanye kusahau kuwa sisi ni kama ua huchanua na kupendeza ila mwisho hunyauka
Atakuwa mwananchi anayemiliki kituo cha Polisi.
Hivi utaratibu ukoje kwa raia anayetaka kuwa na kituo chake binafsi cha Polisi?
Dah watu wasiojulikana wanalaumiana mida hii.
Kachanganyikiwa sio poa!Duuh Risasi ya Kichwa?
TUKANA UONE alafu onyesha Sura utatafutwa tu hata ujichimbie handaki ujifukie Chini watakufuata huko huko as long as Sura yako wanaijuaKama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).
Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wafe
Lakini Mungu muweza akawaokoa
Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
Wasije wakamteka tu lakini!tusubiri uchunguzi wa polisi kwani wao wanamajibu sahihi ndugu
kwa sasa tuache jeshi lifanye kazi yake
Jeshi la Polisi lenyewe linasemaje?kumbukumbu zake huwenda haziko sawa kutokana na majeraha
Kachanganyikiwa sio poa!
Wasije wakamteka tu lakini!
Jeshi la Polisi lenyewe linasemaje?
Mbona majibu yako ya ajabu sana?maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.