Ni sahihi Mkuu, zipo njia nyingi za kukutafuta wakiamua.TUKANA UONE alafu onyesha Sura utatafutwa tu hata ujichimbie handaki ujifukie Chini watakufuata huko huko as long as Sura yako wanaijua
🙏🙏Wewe upo sahihi yeye ndio kachanganya mafaili Mkuu
Hao wapo tangu enzi za Nyerere, wanabadirika Majina tu ila ndiyo hao haoDah watu wasiojulikana wanalaumiana mida hii.
Inasaidia siku ukiwepo utashi wa kisiasa kufanya uchunguzi.Haisaidii ikiwa huo utekeji ulitekelezwa na wasiojulikana wanaofahamika
Hamna aliyesalama duniani we kiazi.Ndugu zangu tujifunze sana kanuni za maisha. La sivyo tutajiponza au kuangamia tungali vijana wadogo sana. Ujasiri bila usalama binafsi ni ujinga.
Kwa nchi yetu inayojipamba kwa kufuata utawala wa Sheria na kuheshimu haki za binadamu kosa/tuhuma hizo adhabu yake ni risasi???
Una uthibitisho wa Kisayansi mkuu?Huwezi pigwa risasi kichwani na upone,Tena uongee hivyo
Mwananchi gani huyo mtu uhangaike na mtu atumie gharama kuhangaika na kitu hakimnufaishi na wala sio katika majukumu yake hiyo sio kweliMwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??
Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???
Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Kuna watu hawajui kichwa kinapoanzia.Ukiamua kutokuelewa ni rahisi kuuliza swali kama hili. Au Taya lipo tumboni?
Na Wewe nenda katukane utafutwe km mwenzio ukatupwe huko Gombe ndani ndani kwenye Chatu wa kutoshaKwa nchi yetu inayojipamba kwa kufuata utawala wa Sheria na kuheshimu haki za binadamu kosa/tuhuma hizo adhabu yake ni risasi???
Aanze na Jina hilo ni mibange 17 per daySema nn kama hayo matusi ni yake kwenye hizo page zake, kama hawaja fabricate basi abadilishe namna ya harakati zake.
Yani shida sana kesi ya nyani inasikilizwa na nyani haileti matumaini hataHuu utekaji hautakwisha, mtu katekwa wakaenda kumficha kituo cha polisi, kisha tunasubiri polisi hao hao wajomba zake Mwashambwa wafanye uchunguzi wa tukio?!
No way.
Weka ushahidi wa huyo jamaa akitukana.Na Wewe nenda katukane utafutwe km mwenzio ukatupwe huko Gombe ndani ndani kwenye Chatu wa kutosha
Ebo! Mnataka kwenda wapi huko tena?Sure maana Pori la katavi lina simba wala watu na pia wasiojilikana wamemiss-target ya kupiga kwenye ubongo wakapiga kwenye TAYA ,jamaa bado kazi aliyotumwa hajaikamilisha.
Kumbuka Alipelekwa Arusha kisha KATAVI.
->Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
->Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Lissu alivyopigwa risasi ,kuna mtu alionekana Dodoma siku ya Tukio na hakuwepo kabisa kwenye sherehe za ikulu ambapo si kawaida yake ,kutekwa kwa Sativa na kupelekwa Arusha ,KUNANI?
Na Wewe nenda katukane ili ukagundue ni Mwananchi gani huyo, mwenzio alichofanywa mengine hatosema mpaka anaingia kaburini ni Siri yake haya Wewe fanya uende basi ukatuletee mrejesho afisa kipenyoMwananchi gani huyo mtu uhangaike na mtu atumie gharama kuhangaika na kitu hakimnufaishi na wala sio katika majukumu yake hiyo sio kweli
Weka ushahidi wa huyo jamaa akitukana.
Yani shida sana kesi ya nyani inasikilizwa na nyani haileti matumaini hata
Anaweza akawa mzoefu sana lakini Mungu akisema hapana huwa hapana Kweli.Mpigaji hakuwa mzoefu au ameachwa aje kutupa ujumbe....?