GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Unamaanisha nini ndugu?Kwenye Zizi la Simba Wakali yupo sahihi Wewe zimua na Kali kwanza hio umevuta dry
Never ever usijidanganye huyo ameachwa kuja kutoa ONYO km chambo, read between the lines risasi inaua true shooter never miss the target kwenye hii huyo kaachwa aishi na jeraha limkumbushe siku nyingine asirudie tena na iwe fundisho kwa wale wote wenye tabia km zakeAnaweza akawa mzoefu sana lakini Mungu akisema hapana huwa hapana Kweli.
Punguza hasira mkuu sijasupport na wala sisupport matusi . Mkasiriko mengi sana hata kama mhusika hatosema kilichotakiwa ni haki kutendekaNa Wewe nenda katukane ili ukagundue ni Mwananchi gani huyo, mwenzio alichofanywa mengine hatosema mpaka anaingia kaburini ni Siri yake haya Wewe fanya uende basi ukatuletee mrejesho afisa kipenyo
🙏Shukrani Kwa masahihisho Mkuu 🙏
Hili ni kosa kisheria kutukana , nasupport ukosoaji kwa kutumia lugha ya staha, serikali wanamapungufu ,ila haikuwa na ulazima kutukana .
Ndio unatukana watu mtandaoni ukitegemea kwamba utachekewa kituo Cha Polisi? Unatukana ukitegemea unaenda chekelea mahakamani si ndio? Na Wewe nenda katukane upigwe msako wa Mbwa udakwe ujikute upo huko msitu ambao haujahi hata kufikaPunguza hasira mkuu sijasupport na wala sisupport matusi . Mkasiriko mengi sana hata kama mhusika hatosema kilichotakiwa ni haki kutendeka
Mbona kwa Lissu ilishindikana?Never ever usijidanganye huyo ameachwa kuja kutoa ONYO km chambo, read between the lines risasi inaua true shooter never miss the target kwenye hii huyo kaachwa aishi na jeraha limkumbushe siku nyingine asirudie tena na iwe fundisho kwa wale wote wenye tabia km zake
Ndio iwe funzo na fundisho kwa wale wote wenye tabia km hizo huo ni Mfano tu ukitaka na Wewe ulionje Joto la Jiwe nenda katukane kule alafu onyesha na Sura yako kabisaHili ni kosa kisheria kutukana , nasupport ukosoaji kwa kutumia lugha ya staha, serikali wanamapungufu ,ila haikuwa na ulazima kutukana .
Unauliza maswali au unauliza majibu?Mbona kwa Lissu ilishindikana?
Omba usipelekwe ni hatari majambaka ya chukua chako mapemaKumbe lengo walikuwa ni wamuue.
Basi hicho kituo cha Osterbay kuna mambo mengi yanaendelea
Sasa hapa mimi nimetukana au wewe ndio unatukana ,Ndio unatukana watu mtandaoni ukitegemea kwamba utachekewa kituo Cha Polisi? Unatukana ukitegemea unaenda chekelea mahakamani si ndio? Na Wewe nenda katukane upigwe msako wa Mbwa udakwe ujikute upo huko msitu ambao haujahi hata kufika
Haina shida tangulia wewe nakuja ngoja nifungue accountNdio iwe funzo na fundisho kwa wale wote wenye tabia km hizo huo ni Mfano tu ukitaka na Wewe ulionje Joto la Jiwe nenda katukane kule alafu onyesha na Sura yako kabisa
Njoo na wewe nikufirimbe mtoto mzuriDaaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Wewe si unajifanya mtetezi wa haki na Msaidizi wa masuala ya kisheria sio? Kwa hio ukitukana mitandaoni watu wakuchekee tu na Sura yako wanayo? Unawatukana wanakuona huyu hapo wakuchekee tu ili uendelee kuwatukana? Bange zake hospital wamempelekea maana kule msituni hakuna Bange kuleSasa hapa mimi nimetukana au wewe ndio unatukana , una Kiranga chako
Mkuu achana na huyo mbwa hakuna anachojua zaidi ya uchawa...Sasa hapa mimi nimetukana au wewe ndio unatukana ,
Duuuh Mwanaume huyo lakini sasa itakuaje? Atasimulia kwenye kilichompata au ndio inabaki Siri yake maana tape wamebaki nayo kule akifanya fyoko dooh salaaale imevujaN
Njoo na wewe nikufirimbe mtoto mzuri
Acha utahilakumbukumbu zake huwenda haziko sawa kutokana na majeraha
Unatamani kutombwah toka Jana.. unatetea ujinga ujinga TU.. mothfck kabisaWewe si unajifanya mtetezi wa haki na Msaidizi wa masuala ya kisheria sio? Kwa hio ukitukana mitandaoni watu wakuchekee tu na Sura yako wanayo? Unawatukana wanakuona huyu hapo wakuchekee tu ili uendelee kuwatukana? Bange zake hospital wamempelekea maana kule msituni hakuna Bange kule
Mmeanza kuita watu Mbwa ita hivyo weka na Sura km kweli unajiaminiMkuu achana na huyo mbwa hakuna anachojua zaidi ya uchawa...