SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Malala Yousafzai alipigwa risasi ya kichwa na Taliban waliokuwa wanakataa watoto wa kike kwenda shule na sasa hivi bado anaongea vizuri tu
Yule ilimpitia kwa bahati mbaya, mtu akusudie kukuua na aaim shaba kichwani...sio rahisi, ila kwa Mungu yote yanawezekana.
 
Mbona mama yako huwa anamtukana baba yako kila mara wakati nikiwa namt"*mba na kumf"ra lakini hajapewa adhabu ya kumpiga risasi??
Kama husadiki maneno yangu muulize bi mkubwa wako,hata ID hii anaijua.
Payge unamuona huyu ananichokoza
 
Hata mm nimeangalia sioni Cha maana
Wamefuta screenshot zipo za hizo tweet za matusi zimetapakaa mpaka link zilikua zinasambaa, we unakuja kuangalia mwishoni unategemea nini? Umechelewa
 
Nilikuwa namjibu kwa mjibu wa generalization yake kuwa haiwezekani.Ukimaliza kusoma hii post Pia na wewe kajifahamishe kichwa ni Nini.. Kinaanzia wapi na kinaishia wapi.
Ukipigwa ngumi ya mdomo itakua umepigwa kichwani?..ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa!?
 
Ukipigwa ngumi ya mdomo itakua umepigwa kichwani?..ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa!?
Wewe unazungumzia UBONGO kwa hio unataka afumuliwe UBONGO ili ufurahi kwamba kupigwa kichwani ndio huko sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…