Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
😄😄Mi sijui Nawaza tuSasa kwann anasema nimepigwa risasi ya kichwa ila bahati nzuri wamenipiga kwenye taya? C iwe tuu kwamba nimepigwa risasi ya taya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Mi sijui Nawaza tuSasa kwann anasema nimepigwa risasi ya kichwa ila bahati nzuri wamenipiga kwenye taya? C iwe tuu kwamba nimepigwa risasi ya taya.
Risasi ya kichwa? pagumu sana hapa, hiyo impact ya risasi jaman...heheDuuh Risasi ya Kichwa?
Yule ilimpitia kwa bahati mbaya, mtu akusudie kukuua na aaim shaba kichwani...sio rahisi, ila kwa Mungu yote yanawezekana.Malala Yousafzai alipigwa risasi ya kichwa na Taliban waliokuwa wanakataa watoto wa kike kwenda shule na sasa hivi bado anaongea vizuri tu
Najiuliza.Risasi ya kichwa? pagumu sana hapa, hiyo impact ya risasi jaman...hehe
Shavu ni eneo la Wapi?Kapigwa shavuni,siyo kichwani
Ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa?Shavu ni eneo la Wapi?
Sehemu ya Kichwa, ni sawa uniulize ukikatwa mbupu utakua umekatwa mbo.o? Ni sawa uulizwe ukikatwa labia majora utakua umekatwa K.uma?Ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa?
Rukaruka tu,najua umeelewa sasaSehemu ya Kichwa, ni sawa uniulize ukikatwa mbupu utakua umekatwa mbo.o? Ni sawa uulizwe ukikatwa labia majora utakua umekatwa K.uma?
Nishakupakia Mkongo sawa basi inamankuswekeRukaruka tu,najua umeelewa sasa
Hata mm nimeangalia sioni Cha maanaYote hayo kwa ajiri ya kukosolewa tu? Mbona hatari sana hii, maana nimepitia tweet zake ni maoni ya kawaida tu tena hata matusi hamna!
Nilikuwa namjibu kwa mjibu wa generalization yake kuwa haiwezekani.Ukimaliza kusoma hii post Pia na wewe kajifahamishe kichwa ni Nini.. Kinaanzia wapi na kinaishia wapi.head I'm igwa shavuni,siyo kichwani
Wamefuta screenshot zipo za hizo tweet za matusi zimetapakaa mpaka link zilikua zinasambaa, we unakuja kuangalia mwishoni unategemea nini? UmechelewaHata mm nimeangalia sioni Cha maana
Ukipigwa ngumi ya mdomo itakua umepigwa kichwani?..ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa!?Nilikuwa namjibu kwa mjibu wa generalization yake kuwa haiwezekani.Ukimaliza kusoma hii post Pia na wewe kajifahamishe kichwa ni Nini.. Kinaanzia wapi na kinaishia wapi.
DOGO amefuzu Chuo kikuu cha matusi na lugha chafuAiseee....
Wewe unazungumzia UBONGO kwa hio unataka afumuliwe UBONGO ili ufurahi kwamba kupigwa kichwani ndio huko sio?Ukipigwa ngumi ya mdomo itakua umepigwa kichwani?..ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa!?
Maswali meeengi. Hizo zote ni sehemu ya kichwa.Ukipigwa ngumi ya mdomo itakua umepigwa kichwani?..ukikatwa sikio utakua umekatwa kichwa!?
Yeye kichwa anajua ni UBONGO tuMaswali meeengi. Hizo zote ni sehemu ya kichwa.