Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.Daktari mkuu wa Wilaya (DMO) Kathibitisha kwamba Kumbukumbu Zake Ziko sawa na majeraha hayaja msababishia Madhara makubwa..
Wewe umemuattend Sativa ukagundua Amepoteza Kumbukumbu
Hata kama ni matusi ndo uue mtu serious?Umepitia Post za hadi lini, kapitie tena.
Handle ndio Jina la TLJina lake ni Sativa 17 na Pia sativa 225.. yote majina yake
View attachment 3027790
Mimi siko huko unanionea nimerekebisha hoja ya matusiHata kama ni matusi ndo uue mtu serious?
Kwa Yale maelezo aliyoyatoa yule Kamanda yalikuwa yanaonyesha wazi ushiriki wa wao ktk hili tukioView attachment 3027772
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Umeongea kama Mauzinde mkuu.Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Mtu Binafsi aliwezaje Kubypass Security kutoka dar Kupita Arusha bila kukaguliwa mipaka yote ya Mikoa na aliwezaje kuingia kwenye Hifadhi ya Mbuga za wanyama bila kukaguliwa???maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Anq shughuli gan uyu? nj mwanasiasa? mwanaharakati? au? mtujuze wengine ndo kwanza tunamsikia apa.Mbona yeye anajiita Sativa17 na si 225? Which is Which?
Ila it is not good at all, God sees
subir ifike zamu yako ndo utajua tofauti ya matusi na kukosoa , subir yamkute ndugu yako utajuwa kwann wamevunja sheria kwa kutoa hukumu pasipo uhusika wa mahakamakama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Pitia vyombo vya habari Millard ayo, Azam tv na zingine zote na hata kama utaweza Nenda Jamhuri ya Twitter (X)Anq shughuli gan uyu? nj mwanasiasa? mwanaharakati? au? mtujuze wengine ndo kwanza tunamsikia apa.
Hopeless human being...ficha ujinga wako.Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Haya maisha ni zawadi tuliyopewa bure na MUUMBA, tuishi kwa upendo, umoja na kusaidiana kuliko kuumizana.
Saa na wakati tusioujua Muumba atatwa nafsi zetu na huko tutalipwa kutokana na matendo yetu hapa duniani.
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
punguza mihemko ndugusubir ifike zamu yako ndo utajua tofauti ya matusi na kukosoa , subir yamkute ndugu yako utajuwa kwann wamevunja sheria kwa kutoa hukumu pasipo uhusika wa mahakama
tuliachie jeshi la polisi naona