SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Daktari mkuu wa Wilaya (DMO) Kathibitisha kwamba Kumbukumbu Zake Ziko sawa na majeraha hayaja msababishia Madhara makubwa..
Wewe umemuattend Sativa ukagundua Amepoteza Kumbukumbu
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
 
View attachment 3027772

Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Kwa Yale maelezo aliyoyatoa yule Kamanda yalikuwa yanaonyesha wazi ushiriki wa wao ktk hili tukio
 
Walitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.

Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
 
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Mtu Binafsi aliwezaje Kubypass Security kutoka dar Kupita Arusha bila kukaguliwa mipaka yote ya Mikoa na aliwezaje kuingia kwenye Hifadhi ya Mbuga za wanyama bila kukaguliwa???

Any way for My Perspectives and as well as My intelligent perspectives it may Concern..

  • kuteka ni professional task; hakuna anayeweza kufanya Bila kuwa Trained
  • Kuvuka mipaka ni authoritative task, inabidi uwena power kufanya Hivyo
  • Kumbuka ameUndego Missing for 5 days so Ku go undetected ni informative task, inabidi uweze kufuta footprints zako (and its requires expertise)
Anaweza akawa raia but Expert one..
 
Anq shughuli gan uyu? nj mwanasiasa? mwanaharakati? au? mtujuze wengine ndo kwanza tunamsikia apa.
Pitia vyombo vya habari Millard ayo, Azam tv na zingine zote na hata kama utaweza Nenda Jamhuri ya Twitter (X)
 
Haya maisha ni zawadi tuliyopewa bure na MUUMBA, tuishi kwa upendo, umoja na kusaidiana kuliko kuumizana.

Saa na wakati tusioujua Muumba atatwa nafsi zetu na huko tutalipwa kutokana na matendo yetu hapa duniani.

Amen. Maisha ni zawadi. Wengibe wanajipa uwezo wa kuamua nani ataishi nani atakufa, bila sababu za msingi.
Ila mwisho wetu sote ni kule kule
 
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Screenshot_20240627_214302_X.jpg
 
Kama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).

Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wafe

Lakini Mungu muweza akawaokoa

Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
 
Back
Top Bottom