Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.Daktari mkuu wa Wilaya (DMO) Kathibitisha kwamba Kumbukumbu Zake Ziko sawa na majeraha hayaja msababishia Madhara makubwa..
Wewe umemuattend Sativa ukagundua Amepoteza Kumbukumbu