hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Mkuu una uhakika akili yako ni timamumaelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Kwani saa hii ni saa ngapi?View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Mkuu Hilo tofali na akili wapi na wapi... Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuja kuwa na majitu majinga sana.Mkuu una uhakika akili yako ni timamu
KAma taifa tunahitaji kuungana na kusema imetosha. Ccm hawawezi tena kuongoza wameisha kuwa majambazi. Lazima tuwatowe madarakani kwa namna yoyote.View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Kwahiyo Robidinyo ujanja wote huo, kumbe hata kuandika vizuri hujui?!
View: https://x.com/iamcleopatricia/status/1806380597964616012?t=oVlutObHgvrV-s05gd8brw&s=08
Sativa anaelezea alivyotekwa na kupelekwa mpaka kituo cha polisi ostbay ila akuchuliwa taarifa, kabla ya kumtupa walipiga risasi ya kichwa
Risasi ya kichwa huponi,makusudi walimpiga shavuni/Taya ili asife Bali akione Cha moto,akipona atakuaekwa nini wakubwa wake wanaheshimu serikali
View: https://x.com/iamcleopatricia/status/1806380597964616012?t=oVlutObHgvrV-s05gd8brw&s=08
Sativa anaelezea alivyotekwa na kupelekwa mpaka kituo cha polisi ostbay ila akuchuliwa taarifa, kabla ya kumtupa walipiga risasi ya kichwa
Karakana ya oyster bay kwenda kumkarabati,maana vijana midomo imepinda,mitusi kwa viongozi mizito mizitoMwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??
Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???
Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Acha kuropoka wewe! Kha! 😳Samia ni dictator
Serikali ya CCM inaendesha magenge ya KIHALIFU, wanaua tu wakosoaji watakavyo. NI HUZUNIWalitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.
Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
Hatari Mkuu 😅Wapewe orders za kuua wazazi wao, watoto wao,ndugu zao uone kama hawato hoji
Shukrani Kwa masahihisho Mkuu 🙏Turekebishe kidogo hapo hao walitupwa katika tanuri la moto mkali ila Daniel yeye ndiye alitupwa katika simba wakali wenye njaa.
Kafanya kosa gani jmn?Mungu ni mwema wakati wote
Kadanganya vp,,au wewe ndy uliyempiga risasi?Hapo kadanganyq
umemaanisha nini?Head:-
The upper part of the human body, or the front or upper part of the body of an animal, typically separated from the rest of the body by a neck, and containing the brain, mouth, and sense organs.
Speechless mkuu.
Wewe ni Dr. Uchwara kweli kweli. Punguza ujuaji.maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
AmiinSpeechless mkuu.
Mwenyezi Mungu amjalie apone haraka