SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.

Pia soma
Kwani saa hii ni saa ngapi?

Naona duniani bado ni kiza Totoro
 
View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.

Pia soma
KAma taifa tunahitaji kuungana na kusema imetosha. Ccm hawawezi tena kuongoza wameisha kuwa majambazi. Lazima tuwatowe madarakani kwa namna yoyote.
 
Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??

Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???

Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Karakana ya oyster bay kwenda kumkarabati,maana vijana midomo imepinda,mitusi kwa viongozi mizito mizito
 
Walitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.

Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
Serikali ya CCM inaendesha magenge ya KIHALIFU, wanaua tu wakosoaji watakavyo. NI HUZUNI
 
Hii Serkali yenu hii itawamaliza hata kiuchumi ila mtaisha tu, si mmeng'ang'ania rangi za Kijani na Manjano. Mnaona kwenu ndo unyama kujiita Chawa.
#FACDEMOL🙁
 
Head:-

The upper part of the human body, or the front or upper part of the body of an animal, typically separated from the rest of the body by a neck, and containing the brain, mouth, and sense organs.
umemaanisha nini?
 
maelezo yake yanamwonyesha anamaumivu makali huwenda yakapelekea kutota picha kwa ufasaha au pengine waliomfanyia hayo(watu wenye hasira kali) wakawa wamemtisha na kumpa maelezo hayo ndio ayatoe kwa maslahi yao binafsi.
Wewe ni Dr. Uchwara kweli kweli. Punguza ujuaji.
 
Back
Top Bottom