DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #121
Hapana nahisi walijua wamempiga Kichwni sehemu vital (yaani walihisi Wamemaliza kazi lakinj huenda Mungu alikuwa upande wa Sativa)..Risasi ya kichwa huponi,makusudi walimpiga shavuni/Taya ili asife Bali akione Cha moto,akipona atakuaekwa nini wakubwa wake wanaheshimu serikali
Duuuu huuu sio uchawa ila ni ushoga inamaana mwananchi mwenye hasira Kari alimpeleka osterbay police kabla ya kumpeleka katavi?kama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Imekuwa Gen chawaGen Z where are you?
Nimetoa definition ya Kichwa(maana ya kichwa)...Watu wanabishana inakuwaje apigwe risasi ya kichwa na apone na ndiyo nikakujibu ni kweli amepigwa risasi ya kichwa ila sehemu ya taya.umemaanisha nini?
🤣Umeongea kama Mauzinde mkuu.
Sijaona matusi ktk hii acc. Nionesheni yenye matusi.Jina lake ni Sativa 17 na Pia sativa 225.. yote majina yake
View attachment 3027790
Mimi Pia Sikuona Matusi sasa Sijui wanaosema matusi wameyaona wapiSijaona matusi ktk hii acc. Nionesheni yenye matusi.
Nime kusoma toka posts za juu una jitahidi sana kutetea uovu lakini jua haya mambo hua yana mwisho muosha huoshwa acha kua ZUZUwahalifu wananjia nyingi sana ndugu
Video ime wekwa apo juu iki onesha sehem aliyo pigwa kichwani ila kwa kua sisi watz ujuaji ni mwingi basi kila mtu ana kuja na uchambuzi wake🚮🚮Risasi ya kichwa huponi,makusudi walimpiga shavuni/Taya ili asife Bali akione Cha moto,akipona atakuaekwa nini wakubwa wake wanaheshimu serikali
Huwezi pigwa risasi kichwani na upone,Tena uongee hivyoVideo ime wekwa apo juu iki onesha sehem aliyo pigwa kichwani ila kwa kua sisi watz ujuaji ni mwingi basi kila mtu ana kuja na uchambuzi wake🚮🚮
Hao walitaka peleka ujumbe kwa watukana serikali na viongoziHapana nahisi walijua wamempiga Kichwni sehemu vital (yaani walihisi Wamemaliza kazi lakinj huenda Mungu alikuwa upande wa Sativa)..
Hawakuwa na lengo abaki salama ili Ablow Cover yao sidhani
Huyo jamaa sio mpumbavu kama wewe angekuwa muoga asingewataja polisiDaaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Habari ya padri kutandikwa risasi kule uliwahi kulisikia?Huwezi pigwa risasi kichwani na upone,Tena uongee hivyo
Alitandikwa risasi kichwani ikatokea mdomoni na akaendelea kuongea!?Habari ya padri kutandikwa risasi kule uliwahi kulisikia?
Kina magoti walitoka Bush lakini licha ya muonekano wake jamaa ana roho mbaya kichizi ya kukuondoa na sumuWapo watoto wa mjini hapa hupewa hizo kazi wanakataa, tatizo hao washamba ndio wanazipenda sana, ma snitch balaa.
KiiiiingggggHead:-
The upper part of the human body, or the front or upper part of the body of an animal, typically separated from the rest of the body by a neck, and containing the brain, mouth, and sense organs.
Mungu anahaja nae bado.Nimetoa definition ya Kichwa(maana ya kichwa)...Watu wanabishana inakuwaje apigwe risasi ya kichwa na apone na ndiyo nikakujibu ni kweli amepigwa risasi ya kichwa ila sehemu ya taya.