SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Risasi ya kichwa huponi,makusudi walimpiga shavuni/Taya ili asife Bali akione Cha moto,akipona atakuaekwa nini wakubwa wake wanaheshimu serikali
Hapana nahisi walijua wamempiga Kichwni sehemu vital (yaani walihisi Wamemaliza kazi lakinj huenda Mungu alikuwa upande wa Sativa)..
Hawakuwa na lengo abaki salama ili Ablow Cover yao sidhani
 
Mungu ni wetu sote ipo siku hao wanaofanya unyama huo kibao kitawageukia.
 
Pole sana mwamba, Tunachimbiana makaburi tukiwa hai bila huruma. Namuombea apone haraka.

Aachane na mambo ya kujitoa mhanga sababu anaishia kuwapa habari blog za mitandaoni huku watanganyika tukijifanya tuna hasira mno ila tunatoa maoni tukiwa majumbani na glass ya maziwa ya mgando.
 
Wapo watoto wa mjini hapa hupewa hizo kazi wanakataa, tatizo hao washamba ndio wanazipenda sana, ma snitch balaa.
Kina magoti walitoka Bush lakini licha ya muonekano wake jamaa ana roho mbaya kichizi ya kukuondoa na sumu
 
Nimetoa definition ya Kichwa(maana ya kichwa)...Watu wanabishana inakuwaje apigwe risasi ya kichwa na apone na ndiyo nikakujibu ni kweli amepigwa risasi ya kichwa ila sehemu ya taya.
Mungu anahaja nae bado.
Yan Mungu bado anamhitajo.
Yafaa kupitia hili amshukuru sana Mungu na atende yaliyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom