DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #121
Hapana nahisi walijua wamempiga Kichwni sehemu vital (yaani walihisi Wamemaliza kazi lakinj huenda Mungu alikuwa upande wa Sativa)..Risasi ya kichwa huponi,makusudi walimpiga shavuni/Taya ili asife Bali akione Cha moto,akipona atakuaekwa nini wakubwa wake wanaheshimu serikali
Hawakuwa na lengo abaki salama ili Ablow Cover yao sidhani