Tumekusikia Mungu mtuHuwezi pigwa risasi kichwani na upone,Tena uongee hivyo
Sio ivo tu katavi pia kuna chatu bila kusahau koboko pale atapo amka, all in all fisi haachi kitu.Walitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.
Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
bila shaka nia yao ilikuwa hiyo risasi imuue lkn kumbe wamempiga kwenye taya,majuto huko walipo.Yeah alipigwa Ila bahati nzuri kwake na kwetu wananchi na bahati mbaya kwa Watekaji ilimpiga Kwenye Taya
Ataishia kutaja tu.....hakuna la maana atasaidika wamemuharibu huko.....hafaiii hataHuyo jamaa sio mpumbavu kama wewe angekuwa muoga asingewataja polisi
HII HAPANA,View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Kina magoti walitoka Bush lakini licha ya muonekano wake jamaa ana roho mbaya kichizi ya kukuondoa na s
Siku hizi nikisikia chawa anasema fulani ameitukana serikali basi moja kwa moja najua huyo mtu alikua anapinga ufisadi anapinga tozo kandamizi. Kwa Machawa hayo yote ni matusi.Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Hawezi kuonesha, ataishia kujambajamba tu.Lamba
Tuonyeshe matusi aliyokuwa akiitukana serikali?
Ukiwa Chawa na ukikutwa unatumia kichwa badala ya mpododo kufikiri una kesi kubwa sana. Si unaona logic ya huyo jamaa.Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??
Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???
Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Haki gani waliyokosa!?Enyi vijana acheni kupigania haki katika Nchi kwani hamtaipata bali mtaleta majonzi kwenye familia zenu.
Atawamaliza wote hao waswahili kwa sumu. Kachimba mkwara juzi marufuku ngoma lasivyo atawanywesha sumu.Yupo kisarawe
Ukiamua kutokuelewa ni rahisi kuuliza swali kama hili. Au Taya lipo tumboni?Mpaka sasa mm najiuloza RISASI YA KICHWA?
hivi ni kichwa hichi tukijuachoooo?