SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Walitaka aliwe na fisi hapo Katavi kusiwe na ushahidi. Katavi kuna fisi wengi mno, wanaotoka nje ya hifadhi kwa makundi mida ya jioni. Hivyo walijua wazi ataliwa na fisi msituni.

Amepona kwa miujiza sana huyu Jamaa, inasikitisha sana.
Ni wazi mbinu ya "Play dead" itakuwa imemsaidia, baada ya kupigwa risasi ni wazi alitulia, angeonyesha kupapalika wangempiga risasi nyingi zaidi.
Kiukweli inasikitisha sana.
Sio ivo tu katavi pia kuna chatu bila kusahau koboko pale atapo amka, all in all fisi haachi kitu.
 
Enyi vijana acheni kupigania haki katika Nchi kwani hamtaipata bali mtaleta majonzi kwenye familia zenu.
 
View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.

Pia soma
HII HAPANA,

#Samia mitano tena
 
Kwahiyo amepigwa risasi ya kichwa ikatokea mdomoni na anaongea vizuri tu...basi sawa
 
Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Siku hizi nikisikia chawa anasema fulani ameitukana serikali basi moja kwa moja najua huyo mtu alikua anapinga ufisadi anapinga tozo kandamizi. Kwa Machawa hayo yote ni matusi.

#KataaMachawa
 
Mwananchi ampeleke Karakana ya Polisi Oesterbay hiyo Access mwananchi wa Kawaida anaitoa wapi??

Na bado asubuhi amchukue ampeleke Arusha ampeleke katavi pia akampige risasi???

Mwananchi wa Kawaida?? Really??
Ukiwa Chawa na ukikutwa unatumia kichwa badala ya mpododo kufikiri una kesi kubwa sana. Si unaona logic ya huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom