Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Hivi vitu sio vya kufumbiwa macho. Watu waishi kwa kuchukuliana na pale wanapokosolewa wajitathimini. Tubishane kwa hoja.
 
Hivi hawa wanamhoji na kuchukuwa video akili zao ziko kwenye makalio? Ama kweli binadamu tumageuka kuwa wanyama. Ni Tanzania pekee utakutana na uhayawani kama huu.
 
Hivi mwanaume unawezaje kusimamisha dushe kwa mwanaume mwenzako?

Mimi naamini hao wanaofanya michezo hiyo wameshafirika sana sasa wanalipiza kwa innocent people.
Yule jamaa kitendo cha kuumbwa na Makalio makubwa kinamtesa na kumsononesha sana, matokeo yake akifanya harakati zake za utekaje lazima aamuru wapambe wake wawalawiti wale wanaotekwa ndipo hujisikia unafuu fulani…kwa kifupi hali ya kuwa na matako makubwa imemfanya awe sadist.
Asichokijua yale makalio yake ndiyo brand yake na ndiyo siri ya mafanikio na bahati ya yeye kufika pale alipo.
 
Aisee mda ni mwalim , naishia hapa , kama taifa tumechagua upande huu tutafika tu tunza hii, Mungu amjalie afya njema
 
Hakupaswa kuhojiwa kabisa kwa hayo malalamiko ya maumivu anayoyasema. kumhoji ni kuzidi kumchosha na kuchochea tatizo mwilini.
 
Yule mtu mkubwa huwenda alipigwa vibao tu, ila vijana machachali kama hawa ni sekunde kuwafanyia mchezo mchafu...
Huyo mwanaume anayeweza kufanya kitendo kama hicho ni mpumbavu wa kutupwa.
 
Enzi za utekaji zilipita..
Mama ni mpenda haki
Mama anaupiga mwingi
Sasa tunapumua
Mama ni expansion joints

Mama ya nyoko
 
Kwa kiasi fulani wamefanikiwa na hawawezi kusema walichofanywa. Si ajabu hata yule bosi sabuni wa simba walimnanii alivyopotea.
Ukikitana na Mtanzania anaipinga CCM na serikali yake basi ujue huyo tayari yupo kwenye list ya mashoga watarajiwa.
Maana wameona hiyo ndiyo namna ya kuwatisha na kuwazima watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…