Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Yani kisa ugali tu ndio unamua kumpiga mwenzio risasi ya taya na mateso makali juu.

Kupona kwa jamaa ni ishara ya ushindi kwake.

Uzuri hakuna atakae baki dunia hii milele hata uwe katili vipi Kuna day utaimbiwa parapanda.

Tuishi na watu vizuri.

We live ones we die ones
 
Tanzania ni nchi ya amani sana Kazi iendelee.... CCM Oyeee itatawala Milele ...............
 
Ni wapi huyu Mwakalebela aka SATIVA alimtukana Rais? (Naomba link)

Kama hakuna, je kwanini ametekwa na kupigwa?
 
Mazingira alikokutwa na jinsi alivyokuwa inakupa picha we bwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…