Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akifa watapata kunga'amua na kuanzia wapi kiupelelezi hawa chawa ?Sasa mtu yupo hoi kiafya lakini badala ya kusaidiwa anahojiwa kama mtu mwenye afya...
Sasa akifa watapata kunga'amua na kuanzia wapi kiupelelezi hawa chawa ?
Tanzania ni nchi ya amani sana Kazi iendelee.... CCM Oyeee itatawala Milele ...............Yani kisa ugali tu ndio unamua kumpiga mwenzio risasi ya taya na mateso makali juu.
Kupona kwa jamaa ni ishara ya ushindi kwake.
Uzuri hakuna atakae baki dunia hii milele hata uwe katili vipi Kuna day utaimbiwa parapanda.
Tuishi na watu vizuri.
We live ones we die ones
Ni wapi huyu Mwakalebela aka SATIVA alimtukana Rais? (Naomba link)Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kuhusu kuwapoteza watu soma hapa: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Delaying tactic ya kummalizia.Sasa akifa watapata kunga'amua na kuanzia wapi kiupelelezi hawa chawa ?
Mazingira alikokutwa na jinsi alivyokuwa inakupa picha we bwege.yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine