Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Hii hauijui n kwa sababu enzi hizo Chadema walipewa kila wanachotaka na awamu ile ila ingekuwa n awamu ya JPM ambaye hakutaka upuuzi wao wangeongea mpaka watoto wako ambao hawajazaliwa wangejua
Wewe ndiye hujui lini Mwakyembe alinyofolewa meno ?
 
We ulevi wa dengerua haujakutoka narudia tena kuwa udhalimu alioasisi magu bado unaendelezwa na serikali ya chama chake au humsikiagi chura kiziwi kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee?
Kwa kuwa awamu zilizopita kabla ya JPM kulikuwa hakuna haya mambo bc nakuunga mkono 😂
 
yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Umeiangalia hiya video mkuu?
 
Wewe ndiye hujui lini Mwakyembe alinyofolewa meno ?
Tulia ndugu, mm sio niliyesema mwakyembe ndio aliyenyofolewa meno najua mtoa mada amejichanga tuu mana ulimboka ndie aliyepewa hy dozi.

Ila bado inabaki pale pale, kuwa JPM hakuwa mbaya kiasi hicho nyie mnavotaka kuwaaminisha watu ila kwa kuwa hakutaka upuuzi wenu ndio mana sasa mnamponda mana awamu zingine mlikuwa mnaenda Ikulu kunywa chai na kupewa vibahasha.
 
Yeye ndiye alikuwa mpuuzi kwa kuamua kujibu hoja kwa risasi.
 
Kenya wanaongea kwa watakavyo lakini hamna mtu anakukamata. Sisi sasa tunajiona watakatifu saana.
 
Yeye ndiye alikuwa mpuuzi kwa kuamua kujibu hoja kwa risasi.
Ndio ilikuwa halali yenu mana mlishazoea kudekezwa kwenye awamu zilizopita, na mna bahati yule mume wenu alitakiwa kufundishwa adabu tuu na sio kuuawa.
 
Amechanganya mafaili huyo, anamaanisha Dr. Ulimboka. Mwakyembe alipigwa kitu cha polonium 210 ila hakikumkolea nafikri walimu-under dose.
Unaijua polonium vizuri? Ni sumu hatari vibaya sana lowest dosage inaweza ikaangamiza watu kibao hata huyo anayepewa aihandle inamdhuru vilevile
 
Wakuu Salama,

Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.

Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.

Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.

Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.

Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.

Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila uta
 
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Huyu wangempeleka kwenye geti la pale ikulu,au bungeni kabisa
 
Back
Top Bottom