Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Sijui kama wanayo au hawana ila ukoo wetu sisi ugomvi huwa hauishi...unarithiwa vizazi kwa vizazi.Labla tuanze kujiuliza hao wengine kabla yake hawana akili hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama wanayo au hawana ila ukoo wetu sisi ugomvi huwa hauishi...unarithiwa vizazi kwa vizazi.Labla tuanze kujiuliza hao wengine kabla yake hawana akili hiyo?
Wewe mangi hunaga akili unapenda sana wanaume wakupe attention hapa JF. Kuna siku utauponza mwaikimbaWapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Uko sahihi ila nyie Chadema mkishakunywa chai hapo Ikulu akili zenu zinageuka, jana Roma mkatoliki amepost X kuwa watz waandamane kuna mtu akamjibu kuwa yeye aanze mbele lkn huyo huyo Roma akaanza chengachenga.Uzuri tunayolalamikia yanatuumiza wote bila kubagua, kwani kama ni maduka na masoko wote tunakwenda pamoja.
Hata mm n mfuasi wa kulipa kisasi, mtu akiamua kuwa mbaya usimfanye kuwa rafiki.Sijui kama wanayo au hawana ila ukoo wetu sisi ugomvi huwa hauishi...unarithiwa vizazi kwa vizazi.
Soma comment utawaona, mana ndio niko nao hapa napambana nao ety wanasema huu ni mfumo ulioachwa na JPM 😂Haya, na hii semeni ni Magufuli..
Wewe una chuki tu na Chadema hata wangeongea jambo lenye manufaa kwako utawakemea tu kwa vile ni Chadema.Uko sahihi ila nyie Chadema mkishakunywa chai hapo Ikulu akili zenu zinageuka, jana Roma mkatoliki amepost X kuwa watz waandamane kuna mtu akamjibu kuwa yeye aanze mbele lkn huyo huyo Roma akaanza chengachenga.
ila nawasiwasi na jina lakoWapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Cjawahi kuwa mfuasi wa chama chcht cha siasa na sijawahi ht kupiga kura mana sijawahi kuona umuhimu wa hayo mambo mawili.Wewe una chuki tu na Chadema hata wangeongea jambo lenye manufaa kwako utawakemea tu kwa vile ni Chadema.
inaonekana hawa walikuwa na lengo la asipatikane kabisaWalitaka aliwe na wanyama wakali? Sio kwa kumtupa huko Katavi National Park🥲
Hao waliamini kuwa wameshamaliza kazi kama Makonda na genge lake walivyoamini kuwa Lissu alishakufa.inaonekana hawa walikuwa na lengo la asipatikane kabisa
Ndio tutamkumbuka kwa kuanzisha kikosi mashuhuri cha watekaji kwa jina la wasiojulikana!Mtanikumbuka 😂😂😂🔥🔥
Kwanini chawa wanatoa vitisho kwa wakosoaji?kwani kukosoa lazima utekwe?
Ipo siku utashindwa kushika mimba ya mumeo na kuanza kumlaumu JPMNdio tutamkumbuka kwa kuanzisha kikosi mashuhuri cha watekaji kwa jina la wasiojulikana!
Shukrani kwa Covid -19 wave ya pili.
Daaaah !!!Ipo siku utashindwa kushika mimba ya mumeo na kuanza kumlaumu JPM
Watu wanazingua aisee, JPM amekufa mwaka wa tatu huu lkn bado wanamtuhumu kwa haya mabaya yanayoendelea hapo ndio utajua tatizo sio JPM bali ni matatizo ya akili zao.Daaaah !!!
A walimpiga sio tembo useme hawana ufahamuKumbe ndiye huyu?
Daa kapigwa sana aseee!.