Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
Nakumbuka hata wakati Ben saanane alipopotea (hadi leo) kuna watu walicomment kwenye social media mbalimbali kama weweWapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka hata wakati Ben saanane alipopotea (hadi leo) kuna watu walicomment kwenye social media mbalimbali kama weweWapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Mwakyembe waziri mstaafu au?Unadhani ni rahisi, mwakyembe walimng'oa meno kwa plaiz hapa, alipofikishwa afrika kusini kupata tiba, akasema akirudi atasema yote atawataja woote, kiko wapi alirudi na akapoa, sijui yuko wapi siku hizi
Kafikaje Arusha na Katavi?Huyo kafumaniwa na mke wa mtu na sio kutekwa
Kukaa kimya wakati wewe ni msaidizi mkuu wa Rais ni kuunga mkono mipango, matendo na maamuzi yake.Vikitokea vitendo vya kishenzi kama hivi lazima tumkumbuke mwasisi wa huu ushenzi, ndiyo legasi aliyoacha
Wewe hujui kitu tulia mkuuUnao ushahidi na hayo uliyoandika?
Sitetei uovu kwenye jamii, lakini, tunao ushahidi kuwa watekaji ni wa chama fulani?
Watu wengine wanachukua wake za watu, halafu, yanawakuta ya kuwakuta, tunakimbilia kusema wametekwa kwa sababu za kuikosoa Serikali. Huu ni mfano tu, sina ushahidi kama jamaa alifanya hivyo.
Vinavyoonekana kwa mama yako?Mdude inasemekana alikutwa na vitu vyeupe makalioni
Huo ujinga wa kwenda police Kwanza ulisababasha nikapotezaa rafiki kwa Sababu ya kuishiwa damuHapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!
Unbelievable.
MO NAYE KAKUAMBIA?Roma kelele zote hajasema , huyo Mdude anakwepesha maneno mpaka leo
Wanaowafanyia wenzao vitendo hivyo wanaume wenzao inasemekana na wao waliwahi kufanyiwa hivyo utotoni. So jamaa walishapigwa nao utotoni.Anasema yote ila hii hawezi kusema 😂 na kujifanya mgumu vile lkn watu wakashika calio lake 😂
Hatari sana Kamanda wangu........hii serikali imeanza mambo yake ya wale wasiojulikanaKumbe ndiye huyu?
Daa kapigwa sana aseee!.
Wote ni maiti japo harufu zinazidianaEh c mlikuwa mnamsifia na kusema JPM ndio shetani, vp tena mkuu mbona ghafla hvy mnabadili kauli 😂
Sijui kama wanayo au hawana ila ukoo wetu sisi ugomvi huwa hauishi...unarithiwa vizazi kwa
We jamaa ulikuwaga na akili. Siku hizi umekua kubwa la machawaWapi picha? Isijekuwa amefumaniwa na mke wa mtu mnawasingizia maccm.
Hujaona hiyo vidio pale chini ya mada?Umemuona wapi? Acha urongo, wee ukiona hiyo miguu imevimba?
Acha umbeaHujaona hiyo vidio pale chini ya mada?
Yule dr, aliyeongoza mgomo wa madaktari... Jina limenitoka.Mwakyembe waziri mstaafu au?