Satr Anise zipi ni salama? nimesoma mahali kuna zenye sumu. Noamba ushauri kabla sijazitumia

Kuuliza sio ushamba izo mavitu ni nn na zinasaidia nn
Leo ndo mara ya kwanza nazisikia ebu mtupe elimu kdg
 
Hizi umezinunua wapi mkuu na nini hiki?
 
Hizi umezinunua wapi mkuu na nini hiki?
Zinaitwa star anise . Nimenunua sokoni nenda kwenye maduka ya viungo viungo vya asili kama midalasini, karafuu, tangawizi na n.k utakutana nazo
 
Kuuliza sio ushamba izo mavitu ni nn na zinasaidia nn
Leo ndo mara ya kwanza nazisikia ebu mtupe elimu kdg
Zinaitwa star anise zipo masokoni kwa wale wanaouza viungo vya chakula. Zinasikika zikitibu tatizo la homone imbalance, fangasi, Uti sugu na n.k.. ila shida wanasema zipo za kichina ambazo ni salama na kijapani ambazo ni sumu na zinaua ukicheza .
 
Kwani mchai mchai umeisha?? Kunywa ufe maana unatamani kama toto la kunguni likimuona binadamu
 
Zinaitwa star anise zipo masokoni kwa wale wanaouza viungo vya chakula. Zinasikika zikitibu tatizo la homone imbalance, fangasi, Uti sugu na n.k.. ila shida wanasema zipo za kichina ambazo ni salama na kijapani ambazo ni sumu na zinaua ukicheza .
Yes... Zipo star anise za kichina/ kuhindi salama kabisa kwa matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…