Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Wanaume wa JF mnaweza ibiwa kiakili

Aliyekwambia Evelyn salt mzuri kichwani nani ??? Au nani amekwambia miss natafuta sijui yupo hivi ???

Unaweza kufungua I'd humu na Ku act unavyotaka .....

JF ni mtandao wa siri wakuu usipagawe na avatar au mawazo anayotoa mtu

Wanaume kutwa kusifia sifia tu et yuko smart kichwani amekwambia nani
 
Yaan nin furah ilopitiliza
mhhh!!!furaha yenywe kama
Ndy hii ikifka cku ya ndoa
Niandae kabsa enkachifu

Za kukufta machoz ya furaha
Utakayolia

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hata we ukitaka waweza kujisema smart kichwani hujakatazwa wivu wa nini
 
Ha ha ha acha nilale mie doctor na mtoto wangu wanapigwa baridi mie nipo chit chat.....
Nachat na taahira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uuuuuwihhh uwiiiiiih uwiiiiiih... Jamaniii mnanivunja mbavu mjue
 
We @ms. Lincoln wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti utapiamlo wa akili. Uwiiiiih my ribs
Mimi sioni tatizo lingine,kujitafutia umaarufu mavi bure tu.Unataka kuongelewa,ukiongelewa unaona unaonewa!Unajitafutia kuonekana unaonewa wivu,unajifanya victim kuwa unafwatiliwa wakati what you do is making noise kila mahali kuwa upo!!Unataka kuwa bingwa wa kulisha watu ndimu wakt watu wenyewe wamevurugwa...shenzee!
 
Yaani mm semeni wooote madame B tu cjui kwann namkubali sana navuta picha ana mzgo wa maana kwa kuoanisha na jina lke!

Post sent using JamiiForums mobile app
 


Wewe mgeni humu??
Kunawatu wanajuana mpaka magegedeo yao
 
Oyoooooooooooooooooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
wewe upo kundi gani binti kati ya makundi tajwa hapo juu?

smart kichwani mwonekano zero? au
mwonekano wa lulu akili za Aziza kono la jini wa mwananyamala??
Niko smart sana ila muonekano siyo zero japo sijafika 70%

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Anaejiharishia niwewe bwegemtozeni wa kwanza

Halafu Mi punda wewe farasi vilevile usinipige mikwala nyang'au wewe hatupo mahakamani kusema kwamba ukimbilie screenshots..
 
Uwiiiii ms linkoln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…