A word.kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...
usilalae dada...Rubi naenda lala mie
ndio ukweli..kama wote tungeulizwa kuwa cc hao wapenzi wetu sijui jukwaa lingekaa vipiA word.
Atakae kutolea povu niite kokote niliko, ninunue kesi.
Nimeamka loohusilalae dada...
Naona ume ji Cc mkuu kwan huna wa ku m Cc? Nauliza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38]Silali leo
Cc trudie
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Ukiwa na mtu wa maana unaanzaje kumtag kwenye kila ujinga...lohndio ukweli..kama wote tungeulizwa kuwa cc hao wapenzi wetu sijui jukwaa lingekaa vipi
Sio mimi mama kwani mimi nina ugomvi nawewe basi!!
Wanaoingilia anga zako naonaga onaga kwa mbaaaaaaaalli
Ataanzaje sasa[emoji16]Anhaaa basi sawaa
Nikajua unataka kukaanga mbuyu
Rubi naenda lala mie
Ataanzaje sasa[emoji16]
Usithubutu kuutwanga mbichi...utakuvundia.!
Sina mkuu kama wewe ni Me njoo tujiCC na sisi tuwe na publicity na attention[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ume ji Cc mkuu kwan huna wa ku m Cc? Nauliza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jesus is my saviour and a friend
We mwenzetu unalea. Haya sie wengine usiku mwema Ms.LincolnHaswaaa!!!
ila kwa ushauri wangu keep low profile..sioni haja ya kujiweka wazi kuwa tayari ushapendwa na mwanamme manake ikitokea siku mkabwagana utaaibika mama..hizo cc tupa kule kabisa..nahisi ni watu wazima mapenzi ya ki highschool hayawafai