Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
A word.kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...
Atakae kutolea povu niite kokote niliko, ninunue kesi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]