Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...
A word.

Atakae kutolea povu niite kokote niliko, ninunue kesi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Trust me!

Kuna watu ni wajinga mpaka wanatia huruma.
Yani nmepitia huu Uzi, nimeona kuna watu wanastahili wapewe vyeti vya diploma au hata masters kwa level ya ujinga waliyofikia.

Tena tuwafanyie na sherehe, wakabidhiwe vyeti kwa matarumbeta!

Lazy bastards!

- KANA -
 
Silali leo

Cc trudie

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Naona ume ji Cc mkuu kwan huna wa ku m Cc? Nauliza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
 
Naona ume ji Cc mkuu kwan huna wa ku m Cc? Nauliza tu[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
Sina mkuu kama wewe ni Me njoo tujiCC na sisi tuwe na publicity na attention[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
ila kwa ushauri wangu keep low profile..sioni haja ya kujiweka wazi kuwa tayari ushapendwa na mwanamme manake ikitokea siku mkabwagana utaaibika mama..hizo cc tupa kule kabisa..nahisi ni watu wazima mapenzi ya ki highschool hayawafai


Huwezi ukawa na bwana wa maana mkakesha humu mnatagiana!
Kwanza heshima inashuka
 
ha ha ha ha haaaaa....uwiii jaman kumekuchaaa...Leo silali nasoma nakufurahi furahideiii hiii atiiiii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Imebidi nianze kusoma uzi upya kwa kweli kuna wanawake hawajiheshimu kwa leo naona hata huyo mpenzi wako atakuwa anaona aibu huko aliko aiseeee...[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Cc trudie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom