Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Akaaa mchaguane huko vi ben 10 na vi mwanasesere....Hata mie hunitaki maana mimi ni mdogo wa vi ben 10 nina miaka 6 na nusu
Mi ni mhenga nadeal na Wahenga wenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akaaa mchaguane huko vi ben 10 na vi mwanasesere....Hata mie hunitaki maana mimi ni mdogo wa vi ben 10 nina miaka 6 na nusu
Gheee!!!! Kumchukulia hiyo vepe???Wewe rubii usije kuta visirani vingine vinatokea hapa Nimefika Kigoma Mwisho wa Reli.....Smart na Kasie inavyoonekana Smart911 ana kisimeti kuliko wanaume wote wa JF maana hata Kasie alishamdondokea na sasa mahondaw anaogopa akina Sakayo , Evelyn Salt , Ms.Lincoln , Maserati etc wasimchukulie. Nini maoni yako na timu yako
Unataka kuona zawadi uwe motivated kwa next pambano [emoji23]
Wewe rubii usije kuta visirani vingine vinatokea hapa Nimefika Kigoma Mwisho wa Reli.....Smart na Kasie inavyoonekana Smart911 ana kisimeti kuliko wanaume wote wa JF maana hata Kasie alishamdondokea na sasa mahondaw anaogopa akina Sakayo , Evelyn Salt , Ms.Lincoln , Maserati etc wasimchukulie. Nini maoni yako na timu yako
kizuri kula na rafiki yako ndugu yanguGheee!!!! Kumchukulia hiyo vepe???
Sina mpango na mimi sio nyakunyaku.
Nitoe kwenye list
Me na mahondaw we are in good terms.
Kwa kawaida makaburi yakiota nyasi ni lazima mmoja kwenda kupalilia ili liwe wazi. Najaribu kulimsha dude kwa mbaliiiiiiiiiNaona unafukua makaburi
Niliamshe?Thubutuu
Jana nilijitolea zawadi ya mshindi wa jana.Mie promota tuu...Ngoja tutafute Wadhamini! Wakipatikana ningependa next battle iwe wewe Versus ?????[emoji23]
Mie promota tuu...Ngoja tutafute Wadhamini! Wakipatikana ningependa next battle iwe wewe Versus ?????[emoji23]
Mkuu sorry, pambano lilinoga jana hadi nikasahau ahadi uliyoitoa! Next battle naomba uwe official sponsorJana nilijitolea zawadi ya mshindi wa jana.
Cha kusikitisha, kustaajabisha, kusononesha na kutia simanzi hakunifuata inbobo hadi zawadi ime-expire. Mwambie nimewachia Mod.
Umetumwa wew amsha tuNiliamshe?
Naitwa nikakamue ng'ombe nikirudi usije lina.Umetumwa wew amsha tu
Mie nitakuwa wa kulichochea dude likiamshwa [emoji125][emoji125][emoji125]Mie nitakuwa muhesabu kura
Mie nitakuwa wa kulichochea dude likiamshwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Weee