Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Mie promota tuu...Ngoja tutafute Wadhamini! Wakipatikana ningependa next battle iwe wewe Versus ?????[emoji23]
Jana nilijitolea zawadi ya mshindi wa jana.

Cha kusikitisha, kustaajabisha, kusononesha na kutia simanzi hakunifuata inbobo hadi zawadi ime-expire. Mwambie nimewachia Mod.
 
Mkuu sorry, pambano lilinoga jana hadi nikasahau ahadi uliyoitoa! Next battle naomba uwe official sponsor
 
Back
Top Bottom