Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
asante sasawe nae una wivu ka Hadija Kiuno wa kigogo Mti pesa ,kuona tu nimemtag mwenzio basi umekuja mbio mbio ka nini
Aya HAPPY BIRTHDAY
Aya endelea kula keki huko uliko Kakonko Kigomaasante sasa
Mzuri ni rubii wangu tu,ndo ana uwezo wa kuliamsha dude!
Post sent using JamiiForums mobile app
boss hv unamjua huyu mtoto
rubii maana huyu mtoto kwa hapa JF ndo true definition ya mwanamke mrembo, kuna wakati nliwahi kutana nae kwao itilima bariadi akiwa mtoni anafua nguo zake
Hahahaah hapana tumeambiwa tufanye comparisons mamaaa... Miss Natafuta namkubali ana roho nene huyo mwingine utafikiri nimemuibia bwana lol......Nipoo mama Smart, nakuona unalinda kura
Rafiki weka picha zao hapa nikupe zawadi nzuri!Ukweli siwajui vizuri lakini ngoja nieleze ninavyowajua Mmoja yuko smart sana kichwani yaani amesoma na hakupata usumbufu maana ana sura ya kawaida sana yaani siyo Mrembo kabisa Lakini mwingine Kichwani zero Ila ni Mrembo na kaumbika vizuri yaani ni mtamu sana hongera yake nimemaliza
so sorry bc....Ohoooo...wantolea siri za ndani sasa wanajf hawachelewi kuanzisha nyuzi wanatafuta mwenza toka bariadi
Hata nikichepuka huniachi??![emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio maana nakupenda bebe hata ukichepuka sikuachi
Kama huyu ndio miss natafuta nampa dollar zangu zootee!!![emoji2][emoji2][emoji2]
Hata nikichepuka huniachi??![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Post sent using JamiiForums mobile app
Weeeeeeh upeo wa miss chagga ni next level... HuhuhuuuuUngepambanisha kati ya Evelyn Salt na Miss Chagga. Ingekuwa pouwa sana.
Post sent using JamiiForums mobile app
so sorry bc....
Miss chagga naomba muacheni tu manake yule ukimpambanisha ataangalia mwenye dau kubwa na mkwanja mrefuuu..mutoto wa mujini yule miss chagga pesa mbele kama taiUngepambanisha kati ya Evelyn Salt na Miss Chagga. Ingekuwa pouwa sana.
Post sent using JamiiForums mobile app