Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Huu "mpambano" ni wa sura/figure walizoziweka kwenye profile zao au ni "ukali" wa michango yao mbalimbali wanayoitoa?
 
boss hv unamjua huyu mtoto
rubii maana huyu mtoto kwa hapa JF ndo true definition ya mwanamke mrembo, kuna wakati nliwahi kutana nae kwao itilima bariadi akiwa mtoni anafua nguo zake


Ohoooo...wantolea siri za ndani sasa wanajf hawachelewi kuanzisha nyuzi wanatafuta mwenza toka bariadi
 
Ukweli siwajui vizuri lakini ngoja nieleze ninavyowajua Mmoja yuko smart sana kichwani yaani amesoma na hakupata usumbufu maana ana sura ya kawaida sana yaani siyo Mrembo kabisa Lakini mwingine Kichwani zero Ila ni Mrembo na kaumbika vizuri yaani ni mtamu sana hongera yake nimemaliza
Rafiki weka picha zao hapa nikupe zawadi nzuri!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ungepambanisha kati ya Evelyn Salt na Miss Chagga. Ingekuwa pouwa sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ungepambanisha kati ya Evelyn Salt na Miss Chagga. Ingekuwa pouwa sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
Miss chagga naomba muacheni tu manake yule ukimpambanisha ataangalia mwenye dau kubwa na mkwanja mrefuuu..mutoto wa mujini yule miss chagga pesa mbele kama tai

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom