Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Hapa kura yangu ni Evelyn Salt tu. Huyu mtoto ana mambo fulani hivi, Huwezi kuchoka kumgo. nga[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ana maneno ya kuliamsha dude.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahaah hapana tumeambiwa tufanye comparisons mamaaa... Miss Natafuta namkubali ana roho nene huyo mwingine utafikiri nimemuibia bwana lol......

Mpende akupendae asiekupenda tyupa kuleeeee.... Nampenda miss

Cc Smart911


Huyu EveChumvi??
Mbona ana mume humu boss fulani hivi
 
Miss chagga naomba muacheni tu manake yule ukimpambanisha ataangalia mwenye dau kubwa na mkwanja mrefuuu..mutoto wa mujini yule miss chagga pesa mbele kama tai

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna mzuri hapo wote wa kawaida tu.
Iwe kwa jina au kwa muonekano.


Wanaume wa JF mnapenda sana kuwakuza wanawake wa JF kana kwamba ni wazuri sana.
Ni binadamu tena wa kawaida sana.
Wa msibabaike mpaka kuwafuata pm
Na hayo majina mazuri yasiwatishe.
Kuweni na msimamo na mjiamini
Shobo acheeni.

Kama umemaindi lala tu...
 
Miss chagga naomba muacheni tu manake yule ukimpambanisha ataangalia mwenye dau kubwa na mkwanja mrefuuu..mutoto wa mujini yule miss chagga pesa mbele kama tai

Post sent using JamiiForums mobile app
Mpambano ungekuwa mkali balaa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mmoja anawashwa sana tena sanaaaa mwingine walaaaa hana hata nyege [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaitafuta ban kwa miguu na mikono wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mzuri hapo wote wa kawaida tu.
Iwe kwa jina au kwa muonekano.


Wanaume wa JF mnapenda sana kuwakuza wanawake wa JF kana kwamba ni wazuri sana.
Ni binadamu tena wa kawaida sana.
Wa msibabaike mpaka kuwafuata pm
Na hayo majina mazuri yasiwatishe.
Kuweni na msimamo na mjiamini
Shobo acheeni.

Kama umemaindi lala tu...
Mkuu sijawahi kumfuata mtu pm hata mmoja huku ila na comment kutokana na threat zake mkuu that all men.
 
Back
Top Bottom