ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Hulali shogWewe mgeni humu??
Kunawatu wanajuana mpaka magegedeo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulali shogWewe mgeni humu??
Kunawatu wanajuana mpaka magegedeo yao
Ebu uje tulale bwana mida ya kukumbatiana inakaribia
Nlikua sijui kama anapenda kuongelewa....Mimi sioni tatizo lingine,kujitafutia umaarufu mavi bure tu.Unataka kuongelewa,ukiongelewa unaona unaonewa!Unajitafutia kuonekana unaonewa wivu,unajifanya victim kuwa unafwatiliwa wakati what you do is making noise kila mahali kuwa upo!!Unataka kuwa bingwa wa kulisha watu ndimu wakt watu wenyewe wamevurugwa...shenzee!
Kimya huepusha mengi........ Anachochea kuni angalia asije kukurushia kijiti cha moto, mwache kuni zimuwakieSijamaanisha wewe.Kuna mtu naona amepata pa kutolea yake ya moyoni.
Nakuja mume wangu...Ebu uje tulale bwana mida ya kukumbatiana inakaribia
Usiniabishe bas shem, sema faster kama unakihitaji kitu cha ArushaWewe utakitoa wapi ? Labda nitumiwe kisha nikutumie ndiyo unitumie
Akikupenda mmeo imetosha!Nlikua sijui kama anapenda kuongelewa....
Sasa sijui hata nimuongelee kipi au hiyo tait kama mfuko?
Eti wanawake hatupendani mfyuuuu nimpende nimemzaa?
Unawasha moto,ukiwaka unajiuliza imekuwaje moto umewaka unaanza kupambana nao kwa mikono!!Kimya huepusha mengi........ Anachochea kuni angalia asije kukurushia kijiti cha moto, mwache kuni zimuwakie
Yaani Mamy ukifika tu nakupiga faini...haiwezekani unapotea nakunifanya nikumiss hadi napotea majukwaaNakuja mume wangu...
We nawe kwani sh ngapi???Kimya huepusha mengi........ Anachochea kuni angalia asije kukurushia kijiti cha moto, mwache kuni zimuwakie
[emoji3]Mh unamuita kama mkurya loh
Lea tu shogaNalea shoga kwetu ndio kumekucha hivyoo
Post namba ngapi mkuu?Nimeupdate matokeo tayari
Ungeendelea kutafuta umaarufu mavi kujifanya unasemwa unasemwa kwa kipi, kujishtukia vipi... Hata ukikuta mende wawili si utajihisi wanakusema?Anaejiharishia niwewe bwegemtozeni wa kwanza
Halafu Mi punda wewe farasi vilevile usinipige mikwala nyang'au wewe hatupo mahakamani kusema kwamba ukimbilie screenshots..
Nitahitaji na ole wako ushindwe kunipaUsiniabishe bas shem, sema faster kama unakihitaji kitu cha Arusha
Jesus is my saviour and a friend
Pole baba..Yaani Mamy ukifika tu nakupiga faini...haiwezekani unapotea nakunifanya nikumiss hadi napotea majukwaa
Skonzi ina maana kifuani kitu kipo kama embe boliboaggy skonzi