Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Wanaume wa JF mnaweza ibiwa kiakili

Aliyekwambia Evelyn salt mzuri kichwani nani ??? Au nani amekwambia miss natafuta sijui yupo hivi ???

Unaweza kufungua I'd humu na Ku act unavyotaka .....

JF ni mtandao wa siri wakuu usipagawe na avatar au mawazo anayotoa mtu

Wanaume kutwa kusifia sifia tu et yuko smart kichwani amekwambia nani
Mawazo ya mtu humwosha mtu alivyo. Hata wewe nishakujua ulivyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]

Jesus is my saviour and a friend
 
Mimi sioni tatizo lingine,kujitafutia umaarufu mavi bure tu.Unataka kuongelewa,ukiongelewa unaona unaonewa!Unajitafutia kuonekana unaonewa wivu,unajifanya victim kuwa unafwatiliwa wakati what you do is making noise kila mahali kuwa upo!!Unataka kuwa bingwa wa kulisha watu ndimu wakt watu wenyewe wamevurugwa...shenzee!


Kuna wajamaa humu balehe bado inawasumbua...
 
Panya aliyeachiwa na mwenye nyumba baada ya kula diary, atatafuna pesa zake..... Endelea kunawa maji ya pilipili, usifungue uzi ukilalamika pilipili inakuwasha
Duuh JF bhana

Jesus is my saviour and a friend
 
Ungeendelea kutafuta umaarufu mavi kujifanya unasemwa unasemwa kwa kipi, kujishtukia vipi... Hata ukikuta mende wawili si utajihisi wanakusema?
Yani sijawahi hata kukufikiria ila hii attack nitaanza kukufikia sasa kuwa kuna taahira namjua humu

Povu lote hilo lanini????
Wanaotafuta umaarufu huwaoni???

Taahira bibi ako Msenge wewe!
 
Wewe mgeni humu??
Kunawatu wanajuana mpaka magegedeo yao
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wacha weee

Jesus is my saviour and a friend
 
Next battle mchague hapa:
Mahondaw vs Ms.Lincoln
Aggyjay vs rubii
geniveros vs demi
rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Najitoa kwenye mpambano...nimeshindwa mimi aisee...
Queen of Mashauzi Africa mashariki na kati.
 
Mkuu nimechelewa ila miss natafuta anatisha

the great
 
Back
Top Bottom