Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mimi nawapa woteLeo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho.
Update
MATOKEO
Kura zilizopigwa: 19
Everlyn Salt: 10
Miss Natafuta: 5
Zilizoharibika: 4
MSHINDI WETU NI EVELYN SALT