Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Leo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho.

Update
MATOKEO
Kura zilizopigwa: 19
Everlyn Salt: 10
Miss Natafuta: 5
Zilizoharibika: 4
MSHINDI WETU NI EVELYN SALT
mimi nawapa wote
 
Kama kuna mmojawao ni sisiemu basi lazima ashinde hii kura hata kwa bao la mkono
 
kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...

Wanadhani sisi tupotupo tu...
Imefikia sasa watu wanalalana hukoo sifa wanamwagiana katika thread za watu
Mkisema atii mna wivu
Khaaaaaa!!
 
Sina mkuu kama wewe ni Me njoo tujiCC na sisi tuwe na publicity na attention[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Mm ni Ke na ninaye wa kum Cc ila sio hapa[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji87]

Jesus is my saviour and a friend
 
Mm ni Ke na ninaye wa kum Cc ila sio hapa[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji87]

Jesus is my saviour and a friend
Good for you ngoja niache nafasi wazi na mimi natafuta wa kumCC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Good for you ngoja niache nafasi wazi na mimi natafuta wa kumCC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Wapo wengi ni wewe kuchagua tu kati ya hao wengi[emoji87] [emoji87] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom