mariamibrahim
Senior Member
- Jul 8, 2017
- 100
- 183
haya basi mi nataka nilale sasaNajua una wako. Mbona dada zangu nawapenda. Wewe upo kwenye kundi moja nao. Usiogope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya basi mi nataka nilale sasaNajua una wako. Mbona dada zangu nawapenda. Wewe upo kwenye kundi moja nao. Usiogope
Weee bas jongoo wangu ngoja tu nikae naye.ataliwa na kuku wangu. 😛
narauka mimi.ibada ya kwanza ndo ntahudhuriaWeee bas jongoo wangu ngoja tu nikae naye.
Haya Mariam dadaa usiku mwema.
Kesho kanisani misa ya sa ngapi?
Sawa. Mimi naendaga ibada ha pili.narauka mimi.ibada ya kwanza ndo ntahudhuria
Kwanza siwezi kabisa kuandika maneno ya shombo maana nitakuwa nakuaibisha wewe CC wanguYah mambo si hayo! Ila ukianza maneno ya shombo usini-Cc nisije kuitwa kivulana sijui MB70 humu nitakukana mara3×30 sawa my dear?
Cc trudie
Safi sanaKwanza siwezi kabisa kuandika maneno ya shombo maana nitakuwa nakuaibisha wewe CC wangu
Cc Fernando Jr:
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Hata Ukhuty pia ni shangazi yanguMmmh! weuweeee
[emoji32][emoji32][emoji32]Zimpite na mbele na nyuma
Halafu mods wametulia tu![emoji32][emoji32][emoji32]
Alfu tuheshimiane humu... Mnajua Rubii nilikuwa namtomgoza mimi, nikagundua ni dem wa my bro Swissme. Nikasema basi nitakuwa bodyguard.
Long live Rubii & Swissme!!!
Duh sijui lini nitapata partner JF[emoji19]
-callmeGhost
mbona hvyoo...!!uchune tuHalafu mods wametulia tu![emoji32][emoji32][emoji32]
Post sent using JamiiForums mobile app
Halafu mods wametulia tu![emoji32][emoji32][emoji32]
Post sent using JamiiForums mobile app
umeona eehh...yeye amekuja asubuhi analeta uchochezi wake...Acha uchochezi bebe mods waje kufanya nini chitchat
Ohhhh,am sorry babe nilikuwa sijui kama chitchat ni jukwaa la sarakasi!Acha uchochezi bebe mods waje kufanya nini chitchat
Yah mambo si hayo! Ila ukianza maneno ya shombo usini-Cc nisije kuitwa kivulana sijui MB70 humu nitakukana mara3×30 sawa my dear?
Cc trudie
umeona eehh...yeye amekuja asubuhi analeta uchochezi wake...
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Itakua koloni lake limeguswa kwa namna moja au nyingine! wenyewe tunajichatia tu hapaa
Pole sana, humu wengi wanafahamiana mkuuWanaume wa JF mnaweza ibiwa kiakili
Aliyekwambia Evelyn salt mzuri kichwani nani ??? Au nani amekwambia miss natafuta sijui yupo hivi ???
Unaweza kufungua I'd humu na Ku act unavyotaka .....
JF ni mtandao wa siri wakuu usipagawe na avatar au mawazo anayotoa mtu
Wanaume kutwa kusifia sifia tu et yuko smart kichwani amekwambia nani