Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Ha ha haaa...hii ishaisha naona muamsha dude kakacha!

Haamini km upepo umegeuka ghafla bin vuuu!

Kuchamba raha ukichwambwa vizuri lazima ule kona!

Ha ha ha haaaaaa...nasubir mpambano no. 4 uwiiiiiiiii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Teh!teh!...wanafukua makaburi afu wanakuta mgomba!
Ishatoka hiyo,ikirudi pancha...si unaona muhenga alivyokuwa na busara...siku imepita kaasha yapite.Huo ndio ukomavu maana sukari ilishuka ya fudenge[emoji23][emoji23]
Dyadya njoo pm dyadya
 
Ha ha haaa...hii ishaisha naona muamsha dude kakacha!

Haamini km upepo umegeuka ghafla bin vuuu!

Kuchamba raha ukichwambwa vizuri lazima ule kona!

Ha ha ha haaaaaa...nasubir mpambano no. 4 uwiiiiiiiii

Post sent using JamiiForums mobile app

Mpambano no. 4 hautaacha watu salama
 
THE SATURDAY BATTLE
This Saturday tunaendelea na mpambano kama kawaida! Hii ni unaambiwa usijaribu kukosa maana siku hio watu hawatabaki salama.
Nawaomba wenye nia ya KUDHAMINI mjitokeze kwenye battle hii ya kukata na shoka.
DON'T TRY TO MISS IT
 
Hii ni changamsha jukwaa ila itagombanisha watu

If you don't mind, achana nayo hata mie sikua interested ndo maana nlikua kimya muda wote
Usirudie kuniweka kwa hizi mambo please
 
Okay Everyn ushauri wako umepokelewa
 
Back
Top Bottom