Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dyadya njoo pm dyadyaTeh!teh!...wanafukua makaburi afu wanakuta mgomba!
Ishatoka hiyo,ikirudi pancha...si unaona muhenga alivyokuwa na busara...siku imepita kaasha yapite.Huo ndio ukomavu maana sukari ilishuka ya fudenge[emoji23][emoji23]
Ha ha haaa...hii ishaisha naona muamsha dude kakacha!
Haamini km upepo umegeuka ghafla bin vuuu!
Kuchamba raha ukichwambwa vizuri lazima ule kona!
Ha ha ha haaaaaa...nasubir mpambano no. 4 uwiiiiiiiii
Post sent using JamiiForums mobile app
Umeonaa eeeee..ndo nautaka ili makaburi yafukiwee[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mpambano no. 4 hautaacha watu salama
Shoga usingizi ni kitu kingine. Wacha tu mumy [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aliekwambia Evelyn Salt mtu mzima nani usimzeeshe basisasa utashikilia hapohapo wakati wote tumeshuhudia ukiyaanza mwenyewe?..kumbuka yule salt kama humfaham vyema ni mtu mzima tena huwezi kushindana nae...atakubwaga virahisi..chukia zani mama
Mi mhenga mamaAliekwambia Evelyn Salt mtu mzima nani usimzeeshe basi
Mi mhenga mama
Hii ni changamsha jukwaa ila itagombanisha watuTHE SATURDAY BATTLE
This Saturday tunaendelea na mpambano kama kawaida! Hii ni unaambiwa usijaribu kukosa maana siku hio watu hawatabaki salama.
Nawaomba wenye nia ya KUDHAMINI mjitokeze kwenye battle hii ya kukata na shoka.
DON'T TRY TO MISS IT
UNAJUA HUKU KUNA WATOTO SANA UNAWAACHA TU MAMA UNAPITA ZAKO .SIJUI WALITUPAMBANISHA KWA LIPI HASAHii ni changamsha jukwaa ila itagombanisha watu
If you don't mind, achana nayo hata mie sikua interested ndo maana nlikua kimya muda wote
Usirudie kuniweka kwa hizi mambo please
Teh nlibaki kusoma tu hata sielewiUNAJUA HUKU KUNA WATOTO SANA UNAWAACHA TU MAMA UNAPITA ZAKO .SIJUI WALITUPAMBANISHA KWA LIPI HASA