Hahaha hahaha hahaha hahahaKm21 ili nigundue mbadala wa oxygen au?
Kwahiyo hakuna km1?
Uzuri ni kwamba huku niliko ukiwaelezea wanaelewa na wanajua umuhimu wa birthday ya mtu. Sema kufurahia sijui kama nitapata hiyo nafasi, niko bize sana.Ndo nzuri sasa jamanii...
Usibanwe saana jamani!
Yap nilisoma pasua kichwa ila kwenye comments ndio sijapita pita!Hahaha hahaha hahaha
Ulimaliza kusoma lakini mdaka chozi
Sawa kaka!Uzuri ni kwamba huku niliko ukiwaelezea wanaelewa na wanajua umuhimu wa birthday ya mtu. Sema kufurahia sijui kama nitapata hiyo nafasi, niko bize sana.
Kwenye comments ndo kila kitu kimewekwa wazi kabisaaa pasua kichwaYap nilisoma pasua kichwa ila kwenye comments ndio sijapita pita!
Ununue tu maana tawasimanga hadi wajukuu zangu.Hahaha hahaha hahaha
Hivyo vitenge itabidi nikipata increment nikununulie
Si niliwahi kukwambia nimekwama, siwezi kufanya miamala yoyote ya kifedha, ndio maana hata zawadi yakwako nilikwambia utaipata tukijaaliwa nikirudi [emoji2954][emoji2954][emoji2954]Sawa kaka!
Wewe utatuma fungu tuendelee kufurahia
Hahaahaha lifunguliwe na naniiiHebu hukoooo
Umejisemea au unataka lisiredi lifunguliwe hukoo
HahahaNaam shuna
Wanazengo akiHahaahaha lifunguliwe na naniii
Ngoja basi nikasome pasua kichwaKwenye comments ndo kila kitu kimewekwa wazi kabisaaa pasua kichwa
Ooppsss!Si niliwahi kukwambia nimekwama, siwezi kufanya miamala yoyote ya kifedha, ndio maana hata zawadi yakwako nilikwambia utaipata tukijaaliwa nikirudi [emoji2954][emoji2954][emoji2954]
Hahaha hahahaUnunue tu maana tawasimanga hadi wajukuu zangu.
Hahahaha nani anataka akonde watu wanataka chibongeee na churaUchoyoooo
Ndo maana hukondiii mfyuuuuu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Ooppsss!
Kichwa changu cha panzi!
Tutafurahia humu jukwaani tuu kakangu
WoooiiiiHahahaha nani anataka akonde watu wanataka chibongeee na chura
Sijui kama utamaliza...Ngoja basi nikasome pasua kichwa
EeenhSilii bhana si unajua vilio vyetu wanaume ni ndani kwa ndani!