Saturday Morning Run

Saturday Morning Run

Ndo nzuri sasa jamanii...
Usibanwe saana jamani!
Uzuri ni kwamba huku niliko ukiwaelezea wanaelewa na wanajua umuhimu wa birthday ya mtu. Sema kufurahia sijui kama nitapata hiyo nafasi, niko bize sana.
 
Sawa kaka!
Wewe utatuma fungu tuendelee kufurahia
Si niliwahi kukwambia nimekwama, siwezi kufanya miamala yoyote ya kifedha, ndio maana hata zawadi yakwako nilikwambia utaipata tukijaaliwa nikirudi [emoji2954][emoji2954][emoji2954]
 
Back
Top Bottom