Sauti ya Umma
Member
- Aug 26, 2010
- 40
- 24
Wanawakwamisha kuingia ikulu au wanawakwamisha kupata hela kutoka ccm?Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, View attachment 3274002akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali
View: https://www.instagram.com/reel/DHS9MvPz2qQ/?igsh=emd6aDJoZTVtOGpv
Mkuu,Wanawakwamisha kuingia ikulu au wanawakwamisha kupata hela kutoka ccm?
Hiki chama chenu ambacho hakijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji Leo mnawaza habari za kuingia ikulu as if it is normal thing.
Yanatumwa na CCMMkuu,
Hii dunia imebeba mengi Sana ni balaa Sanaa.
Yaani NJAA imehamia kichwani ni hatare Sanaa
Ahhh!! inafikirisha Sana Mkuu nadhani wameamua kufurahisha genge kwa siku ya leo .Mkuu,
Hii dunia imebeba mengi Sana ni balaa Sanaa.
Yaani NJAA imehamia kichwani ni hatare Sanaa
Kuweni hata na aibu mbuzi nyie.Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, View attachment 3274002akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali
View: https://www.instagram.com/reel/DHS9MvPz2qQ/?igsh=emd6aDJoZTVtOGpv
Kabisa tena sasa hivi yanajitokeza hadharani kabisa mkakati wa NO REFORMS NO ELECTION umewatoa pangoni😆😆😁Haya mapandikizi ya CCM ni aibu kwa taifa
Kumbe unajua, it is not a normal thing for everybody kuingia Ikulu!? Sasa mwambie Lissu and the gang wasijihangaishe!Wanawakwamisha kuingia ikulu au wanawakwamisha kupata hela kutoka ccm?
Hiki chama chenu ambacho hakijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji Leo mnawaza habari za kuingia ikulu as if it is normal thing.
Endelea kukariri Ila mambo hubadilika keep this in ur mindKumbe unajua, it is not a normal thing for everybody kuingia Ikulu!? Sasa mwambie Lissu and the gang wasijihangaishe!
Nyoka waanza kutoka mapangoniKabisa tena sasa hivi yanajitokeza hadharani kabisa bila ya mkakati wa NO REFORMS NO ELECTION umewatoa pangoni😆😆😁
Ukiwauliza wana wanachama wangapi hawajui mpk leoKabisa tena sasa hivi yanajitokeza hadharani kabisa mkakati wa NO REFORMS NO ELECTION umewatoa pangoni😆😆😁
Ni kichaa tu ndio anaweza kufuata vyama vilivyoanzishwa na CCM ili wanapofanya uharamia wao kwenye uchafuzi vinakuwa vya kwanza kukubali matokeo HARAMU.Ukiwauliza wana wanachama wangapi hawajui mpk leo
Yaan yamegeuka kichekesho.Yanatumwa na CCM
Chama hakina hata wanachama 50 nchi nzima, kuna siku tulialikwa ofisi za RC Arusha na tume fake ya uchaguzi mpk nafika ukumbini nilikuwa sijui nawakilisha chama gani, wakati wa kusaini posho 200,000 ya kila mshiriki nikakuta jina langu limeandikwa chama cha SAU hata Mwenyekiti wake taifa simjui, nilicheka sn. Mkoa mzima wa Arusha hakuna mwanachama hata mmoja wa SAU na tulikuwa wengi mnapajikwa Mwenyekiti na Katibu 2 kila chama.Ni kichaa tu ndio anaweza kufuata vyama vilivyoanzishwa na CCM ili wanapofanya uharamia wao kwenye uchafuzi vinakuwa vya kwanza kukubali matokeo HARAMU.