johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.
Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi.
Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu za barabara.
Na walemavu wote watapewa bajaji.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!