Uchaguzi 2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

Uchaguzi 2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.

Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi.

Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu za barabara.
Na walemavu wote watapewa bajaji.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Aiseeee, hao viongozi wa kulipa hilo deni ni kina nani ?
 
Back
Top Bottom