Hivi huyu mdada mbona hajipendi!yaan anavaaga hovyo hvyo kwenye hicho kipindi chake,mi sijawahi kuona akapendeza
kuna siku alivaa black juu mpka chini yaani alitisha,kma kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze ,havutii kabisa n wala kipindi chake ni hewa
Wewe mwenyewe kiatu umekivaa ulipoenda form 1 utajua saa ngap! Anavaa mosurupweta mi jeans imetepweta utafikiri mbibi wa miaka 80, she is a tv presenter, siku hizi wanavalishwa what is wrong with star tv
faida ya kupendeza ni nini si pendeza mwenyewe acha husuda hizo chukua vyeti katafute kazi
Sauda hana damu/mwili ya/wa nguo....
Kuna wakati anavaa nguo nzuri sana lakini hapendezi
Mimi ananivutia hivohivo
Nimeshtuka nilijua kafa.
................ mkorogo umedunda................
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.
Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.
======